ads1
Account Opening (Freelancers) – Nafasi 400.
Kampuni ya Agents Support imetangaza nafasi za Ajira kwa Vijana wenye nia, ari na sifa stahiki kuomba nafasi 400 za Account Opening (Kufungua Accounts za Azania Bank.)
Recommended:
SIFA NA VIGEZO VYA WAOMBAJI
- Awe na Elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo
- Awe na namba ya NIDA au Kitambulisho cha Mpiga Kura.
- Awe na simu janja (smartphone)
- Awe mchapakazi na hodari
Read Also:
MAENEO YA KAZI (LOCATION): Shinyanga, Mara, Kahama na Geita.
Tuma CV yako Kwa email: jobs@nad.co.tz au hr@nad.co.tz
ads2