NEC Various Jobs April 2024 : The National Electoral Commission (NEC) of Tanzania has officially transitioned to the Independent National Electoral Commission (INEC) as of April 12, 2024. This renaming follows a recent legislative amendment aimed at restructuring the functions and structure of the electoral authority to enhance the efficiency and transparency of electoral processes in Tanzania.
Recommended:
The changes were endorsed by President Samia Suluhu Hassan after approval by the Parliament. The renaming reflects the implementation of the newly enacted laws, including the INEC Act No. 2 of 2024.
NEC Various Jobs April 2024
DOWNLOAD PDF FILE HERE
DEADLINE APRIL 27 2024
SIFA ZA MWOMBAJI WA NAFASI YA MWANDISHI MSAIDIZI
- Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
- Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza;
- Awe mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta au simu janja (Smartphone);
- Awe ni mkazi wa mtaa au kijiji katika kata anayoomba kuwa mwandishi msaidizi;
- Asiwe kiongozi au kada wa chama cha siasa; na
- Awe ni mwadilifu na mtiifu.
SIFA ZA MWOMBAJI WA NAFASI YA MWENDESHAJI WA VIFAA VYA BAYOMETRIKI
- Awe ni raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
- Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne au zaidi na anajua kusoma na kuandika katika lugha ya Kiswahili au Kiingereza;
- Awe mwenye ujuzi wa kutumia kompyuta au simu janja (Smartphone);
- Awe ni mkazi wa mtaa au kijiji katika kata anayoomba kuwa mwendeshaji wa kifaa cha bayometriki;
- Asiwe kiongozi au kada wa chama cha siasa; na
- Awe ni mwadilifu na mtiifu.
MALIPO
Malipo yatakuwa kama ifuatavyo:-
- Kwa siku za uboreshaji wa Daftari vituoni waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki watalipwa posho ya Shilingi 50,000/= kwa siku na nauli Shilingi 10,000/=.
- Wakati wa mafunzo, waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki watalipwa posho ya Shilingi 50,000/= na nauli Shilingi 10,000/= kwa kila siku ya mafunzo.